Waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo Nape Nnauye alitumia muda wake kuandika ujumbe kupitia account yake ya Twitter na kusema…>>>’Majaribu huja ili kutuinua kutoka utukufu hadi utukufu. Kikubwa tusikate tamaa! Utukufu mkubwa upo mbele! Kwaresma njema.’
Source:Millard ayo