Maneno ya Sugu baada ya kufika CLOUDS na kamati ya Bunge

Viongozi mbalimbali na Wanasiasa wamefanya ziara kutembelea makao makuu ya CLOUDS MEDIA baada ya Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda kwenda kwenye Ofisi hizo akiwa na Askari wenye silaha na kuwataka Watangazaji wa kipindi cha SHILAWADU warushe kipindi cha Mwanamke aliyedai kuzaa na Askofu Gwajima…..

                           Source: Millard ayo

Generic selectors
Exact matches only
Search in title
Search in content
Post Type Selectors
muzikizaidi
Author: muzikizaidi