‘Iliniumiza sana waliposema nimekufa’- Hussein Machozi

Ni April 27 2016, ambapo mkali kutoka Bongo Fleva Hussein Machozi aliwasili Dar es Salaam akitokea nchini Italy.Staa huyo alikutana na waandishi wa habari na kuyajibu baadhi ya maswali.

Source: Millard ayo