HekaHeka:Mtanzania auawa kwa kusukumwa ghorofani na bosi wake huko Oman

Leo March 22 2017 kwenye Hekaheka ya Clouds FM Gheah Habibu ametuletea stori inayomuhusu mwanamke mtanzania aliyefariki kwa kasukumwa kutoka ghorofani mpaka chini huko Oman ambako alikwenda kufanya kazi za ndani huku ikidaiwa aliyemsukuma ni bosi wake wa kike. Mwili wa marehemu umeshawasili nchini kwa ndege.

Source: Millard ayo