VIDEO MPYA: Mkongwe Jay Moe katuletea hii inaitwa ‘Nisaidie kushare’

Weekend imeanza na hii mpya kutoka kwa Legend Jay Moe Famous ambapo  ametuletea video ya wimbo wake mpya unaitwa ‘Nisaidie Kushare’. unaweza kuacha comment pia…………

Source: Millard ayo