Yanga ilitolewa rasmi katika michuano ya Club Bingwa Afrika na sasa watanaungana na timu nyingine 15 zilizotolewa katika Club Bingwa na zitashiriki Kombe la shirikisho barani Afrika, ambapo itacheza mchezo mmoja wa mchujo ndio iingie hatua ya Makundi baada ya droo kupangwa.
List ya timu 16 zilizotolewa Club Bingwa Afrika
1. Yanga-Tanzania
2. KCCA-Uganda
3. CF Mounana-Gabon
4. CNaPS SPORT-Madagascar
5. Rail Club Kadiogo-Burkinafaso
6. Rivers united-Nigeria
7. Tp Mazembe-DRC
8. Bidvest Witts-SA
9. FUS Rabbat-Morroco
10. Leopard-Congo
11. ASPL-Mauritious
12. Enugu rangers-Nigeria
13. Gambia port-Gambia
14. Tanda-Ivory Coast
15. Horoya AC-Guinea
16. BYC-Liberia
Source: Millard Ayo