Brand ya African Boy ya Jux inazidi kuongeza bidhaa zaidi. Baada ya kuachia t-shirts, mabegi, viatu na vingine, Jux ameingiza sokoni mifuko. Mifuko hiyo ya kubebea vitu mbalimbali ina rangi nyeupe na vishikio vya rangi nyeusi.
![](http://kwanzanetworks.com/wp-content/uploads/2017/07/2-jux-300x300.jpg)
                                                                          Source: Dizzim online