Mrembo Huddah Afanikiwa Kumnasa Wizkid

Baada ya kutamka kupitia mtandao wa Snapchat kuwa anampenda na anatamani kuzaa na mwanamuziki Wizkid, mrembo Huddah amesherekea ushindi wa kumnasa tena mkali huyo siku ya Jumamosi.

 

Wizkid ambaye kwa sasa ameachia mixtape yake Sounds from the other side ‘SFTOS’ aliweza kuangusha bonge la show licha ya kuwa na mvua kubwa ndipo walipokutana wawili hao.

Kwa mujibu wa mtandao wa Snapchat ya mrembo huyo ameandika “Everything was a mess last night! But i had fun.Great laughing out loud with Daddy yo! Gang! Gang! foevaa!.”

Source: Udaku