Jay Z wa Bongo hakujua Jay Z ni nani, alichukia…

                                      

Msemo ‘Duniani wawili wawili’ ni maarufu sana ukimaanisha watu hufanana ingawa hawatoki ukoo mmoja ambapo inawezekana mmoja hamfahamu mwingine…Tanzania inaye mtu ambaye anafanana na Jay Z hata watu humuita Jay Z wa Bongo ingawa hawajawahi kukutana.

Millardayo.com na AyoTV zimempata kwenye Exclusive Interview Mtanzania huyu ambaye ni Msanii pia ambapo amefunguka na kuelezea namna ambavyo watu walianza kumuita Jay Z wa kibongo na nini kilitokea baada ya tamasha la AFTER SCHOOL BASH alikoonekana.

                               Source: Millard ayo