Drimo Boy – Weka Pozi (Audio)

Affection Records Arusha wanakuletea “WEKA POZI” by artist wao mpya “Drimo Boy” ambaye ana kipaji cha kipekee kabisa katika Game la Muziki wa BongoFleva. Ikiwa ni single mojawapo katika zaidi ya Ishirini walizorekodi tayari, CEO na Producer “Paul Affection” anasema “Drimo anakuja baada ya msanii Kisha kufanya vizuri, mapema mwezi ujao tutaachia Video Rasmi ya kazi mpya ya Drimo Boy so mashabiki wakae mkao wa kuburudika vilivyo na hatimae kupokea ALBUM mwisho wa mwaka huu.