Diamond Platnumz – Kanyaga (Audio+Video)

Muda wa wiki kadhaa baada ya “INAMA” ft Fally Ipupa kutamba dunia nzima, CEO wa Wasafi Diamond Platnumz amedrop official Banger jipya “KANYAGA” produced by s2kizzy. Enjoy