Diamond Platnumz Azungumzia Zile Video Za zari

Mama Mzazi wa Zari ambae ni mpenzi wa Mwimbaji wa Bongofleva Diamond Platnumz amezikwa leo July 21 2017 Uganda ambapo watu mbalimbali walikusanyika kwa ajili ya maziko.

Diamond Platnumz na Mama yake pamoja, Meneja wake Babutale na Madame Rita walifunga safari kwa ajili ya kuhudhuria maziko.

Diamond Platnumz ambaye amesikitishwa na msiba huo lakini pia ametoa ufafanuzi kuhusu zile video za Zari na ndugu zake wakicheza kwa furaha wakati ilijulikana kwamba Mama yao ni mgonjwa na amelazwa Hospitali.

Source: Millard ayo