Diamond Platnumz Akiona Chamoto.


Hakika baada ya Diamond kuhepa hepa kuhusu Mtoto Nasib Abdul leo amekiri kuwa ni suna yake.

Hamisa ni shujaa kwasababu hakurudi nyuma aliendelea kuchokonoa hadi Mzee Baba yakamfika shingoni inabidi ajitokeze kusafisha hewa.

Kama Diamond angepuuza makombora ya Hamisa hakika yule Binti wa Kiganda angeibuka Shujaa lakini kwakua makombora yameifikia Ngome ya Madale na kwa Madiba basi mshindi Sukari ya Kitanzania Hamisa.

Pia Watanzania tumemuunga mkono Diamond mpaka amekuwa lulu lakini uzazi kahamishia kwa Mjukuu wa IDD Amin Dada. Kwa hili Hamisa ni shujaa wetu kurudisha uzazi nyumbani Tanzania. Na Sasa tumepata mrithi wa Mali za Diamnond ambaye ni Mtanzania halisi kabisa.

Source: Udaku