Diamond Platnumz Sifikirii Kumuacha Zari.

Diamond Platnumz ameweka wazi kuwa alishaongea na Zari na kumwambia kuhusu kuwa na mtoto na Hamissa Mobetto na amemsamehe, na ikitoa Zari Akamuacha basi atampigia magoti kuanzia Tanzania mpaka South Africa kumuomba msamaha.

Source: Udaku.