Chaka boy x Totomodo x Buja x Level Music – The One

Pata kutazama kazi mpya ya Chaka boy x Totomodo x Buja x Level Music… ngoma inakwenda kwa jina “The One” imetayarishwa na producer Eyymeiza na video imeandaliwa na Director Revo Juma toka African films