Sauti Sol wamekuwa wasanii wa kwanza.

Kundi la wasanii wa Kenya la sauti Sol limeweka rekodi yao, wamekuwa wasanii wa kwanza nchini Kenya kufikisha idadi ya followers Million 1 Instagram.

1473798980sauti-soul.

Baada ya kufanikiwa kuongeza idadi hiyo, wasanii hao kupitia mtandao wa Twitter wamesherekea kwa kuandika, “#Goodmorning Apparently we’re the first Kenyan musicians to reach a million legit followers on @instagram . Damn it’s hard outchea.

Wasanii hao kwa sasa wapo kwenye ziara ya show zao nchini Ujerumani na Ubelgiji.

Source: Team TZ.