Pamoja bado yupo kwenye majonzi ila Team Wema bado wanaendelea kurusha vibomu kwa Zari, Huyu hapa chini anawashutuma marafiki wa Zari Kumkacha rafiki yao kipindi hichi kigumu kwake:
From @wemakingdaily – Hakuna hata rafiki either from SouthAfrica Or Tanzania😞Hata rafiki yake VeraSidika yuko jirani hapo kenya kashindwa kuja😠 Kwenye 40 ya Nillan watu kibao walifika kumsupport ila leo yuko peke yake,Madam Rita ndo kabisaa anaomboleza msiba insta halafu hata mtu mmoja kutoka WCB hata wa kuwakilisha hakuna😢😢 Diamond mwenyewe katudanganya atakuja kwenye kuaga kumbe hola mpaka maiti inaelekea kuzikwa😭😭 Hata hao wanaojiita TeamZari kutukana watu na kuchamba watu wameshindwa kujichangisha kwenda kumuunga mkono Star wao😭😭😭@zarithebosslady atakuwa amejifunza kitu hapa! aache kunyali wenzie
Source: Udaku