Bifu Jipya Kati Ya Fid Q Na Alikiba.

Baada ya Fid Q kufanya Fresh Remix akimshirikisha Diamond Platnumz kisha kupokelewa kwa hisia tofauti na mashabiki, staa huyo wa Hip Hop Bongo kafunguka kuhusu uhusiano wake na Alikiba.

Ameeleza kuwa uhusiano wake na Alikiba ni mzuri na hata wakikutana wanasalimiana kama kawaida na akaongezea kuwa Alikiba ni msanii mkubwa na moja kati wa wengi amabo anaheshimu kazi zao.

Source: Millard ayo.