Lulu Akubali Ushawishi Wa Zari The Boss Lady

Lulu amekubali ushawishi alionao ubavu wa Diamond, Zari The Bosslady. Amedai kuwa kitendo cha kujaza mamia ya watu Mlimani City Jumatatu iliyopita wakati wa uzinduzi wa duka la Danube si cha mzaha.

“Ule Umati Mlimani City Leo wa Kumuona Mama TeeDada Anatunyoosha Nyumbani Kwetu WenyeweTUMPENDE Tu…HAKUNA NAMNA,” aliandika kwenye Twitter.

Baadaye alikuja kufafanua zaidi kwenye Instagram:

Ni Wenye Akili Za Kipuuzi Tu Watawaza au Kutafsiri Upuuzi….Nadhani Ifike Muda Watu Waanze Kuangalia Vitu Kwa Mtazamo Positive….video za Yule dada jana kwa mtu mwenye akili sawa sawa ni inspiration…Na sijaongelea personal issue Yake yoyote…Matatizo yake na mtu mwingine yyte hayanihusu na ndo maana hujawahi kuona nimechangia kwneye maswala yake binafsi…Kama Raia ya nchi nyingine aliyeanza kujulikana kwetu kwa kipindi kifupi lakini ametumia hyo nafasi kupata kazi na wafuasi kiasi kile usipokuwa inspired UKAPIMWESikutaka kutolea maelezo kwasababu mwisho wa siku chochote ninacho Post hakimuhusu mtu ila nimeona umejielezea kiustarabu labda pengine kuna point ulikuwa unamiss hapo katikati…..sio kila 1+1 ni 2 hata 10-8 ni 2 hyohyo tuache kukariri maisha jamani

Source: Dizzim Online.

Facebook Notice for EU! You need to login to view and post FB Comments!