Swizz Beatz Ampost Diamond Platnumz.

Baada ya post ya mwanamitindo Flaviana Matata akiwa na staa wa Marekani Swizz Beatz ambaye alituma salamu kwa Diamond Platnumz naye Diamond kuiweka video hiyo kwenye Instagram kisha Swizz Beatz kumjibu Diamond Platnumz kupitia instagram.

Source:Millard ayo.