Beazi.. Mtanzania mwingine nje ya Bongo anaekomaa na muziki

Jina lake ni Beazi, ni Mtanzania miongoni mwa Watanzania walio nje ya nchi na wanaendeleza harakati za muziki na leo millardayo.com inakukutanisha na moja ya vipisi vyake ambacho ni ‘liar liar‘ remix ambapo pamoja na kuwa nje ya bongo hajaacha kuweka Kiswahili kwenye mashairi yake.

Source: Millard ayo