Mwanamuziki Rihanna Apewa Heshima.

Katika kusherekea siku yake ya uhuru ‘Novemba 20′ visiwa vya Barbados vimeamua kumpa heshima staa mkubwa anayetukea huko, Rihanna kwa kuupa mtaa mmoja jina la staa huyo.

Mtaa wa Westbury New Road ambao Rihanna amekua umebadilishwa jina na kuitwa Rihanna Drive.

“The Government of Barbados will on Independence Day, Thursday, November 30, 2017 officially change the name of Westbury New Road located in St. Michael to Rihanna Drive in honour of Barbadian superstar Ms. Robyn Rihanna Fenty who grew up in Westbury New Road.” Waziri wa utalii wa visiwa hivyo alitangaza.

Source: Team Tz.