Kutoka Mkubwa na Wanawe Aslay anayo hii nyingine mpya na kali ambayo ina kila sababu ya kukufikia wewe mpenzi wa burudani.
Inaitwa “Kidawa”, na mikono ya producer Zest ndio imehusika kwenye uandaaji wa ngoma hii. Enjoy nayo.
Story by:@Joplus_
Source: Perfect255.com