Dakika ya 77 Real Madrid walipata pigo kutokana na nahodha wao Sergio Ramos kuoneshwa kadi nyekundu kwa kumchezea faulo Lionel Messi na kumfanya beki huyo kufikisha jumla ya kadi nyekundu ya 22 katika soka, hata hivyo Real Madrid na Sergio Ramos hawakubaliani na kadi hiyo.
Baada ya mjadala kuendelea beki wa FC Barcelona ambaye alicheza katika ile game Gerard Pique ameizungumzia ile kadi na kusema kuwa alistahiuli “Nina uhakika Ramos akifika nyumbani atatambua kuwa ile ilikuwa ni kadi nyekundu ya wazi kabisa” >>> Pique
VIDEO: Game haikuoneshwa Yanga vs MC Alger, nimeyanasa matukio na goli la Yanga FT 1-0
Source: Millard ayo