Nikki Wa Pili Aja Na Ngoma Mpya.

Mabibi na mabwana staa Nikk wa Pili kutoka WEUSI tayari katualika baada ya kuachilia video ya wimbo wake mpya ‘Kihasara’ Feat Chin Bees. Audio imetayarishwa na Producer Luffa katika studio za Switch records.

Source: Millard ayo.