Rayvanny Alivyokutana Na Rick Ross

Ray Vanny amezungumza nasi kuhusu alivyojisikia baada ya kuonana uso kwa uso na rapper wa Marekani, Rick Ross.

Kiukwel najiskia ni mtu ambaye nimekuwa mpya kwasababu ni nafasi ambayo sikuitegemea na ninamshukuru Mungu na mashabiki zangu na menejimenti yangu kwa nafasi ninazozipata kukutana na Rick Ross.”

Ameongeza, “Nimefurahi sana kwasababu tumeongea vitu vingi sana na nimepata ufahamu mkubwa sana wa muziki na nini nifanye na wapi nipite ili niweze kufika.”

Ray Vanny ataonekana kwenye video ya wimbo wa Diamond aliomshirikisha Rick Ross, Wakawaka.

Source: Dizzim Online.