Akiongea kupitia kituo cha Televisheni cha Clouds Tv kupitia kipindi cha Shilawadu, aliulizwa swali kuhusu gharama ya page yake kama akitaka kuiuza…Bila kutafuna maneno Diamond alisema page yake anaweza kuuza kwa bei ya dola milioni 2 sawa na Tsh Bilioni 4 za Kitanzania.
Story By:@Joplus_
Source: Udaku Special Blog.