Yusuph Mlela Atoboa Siri Kali Kuhusu Msanii Nay wa Mitego

Baada ya mama ya mtoto wake kutokea mitandaoni na kueleza Nay hashughuliki na mtoto wake na ila anatafuta kiki naye, muigizaji mkali Yusuph Mlela pia amejitokeza kukashifu Nay wa Mitego.

Akizungumza na global TV alieleza ya kwamba Nay wa Mitego alikuwemo Chokoraa miaka iliyopita na kuna mambo mbalimbali ya aibu iliyotokea wakati humo ambayo utayapata

 Source: Udaku