Wizkid akutana na Damian Marley.

Baada ya rapper mkongwe Jay Z kumshirikisha Damin Marleykwenye album yake mpya 4:44 sasa ni zamu ya Wizkid.

Staa huyo wa Nigeria ameshare picha akiwa na mkwongwe huyo ambaye pia ni mtoto wa mfalme wa Reggae, Bob Marley. Ameelezea livyokua akitamani kufanya kazi na Damian Marley.

Source: Teamtz

Generic selectors
Exact matches only
Search in title
Search in content
Post Type Selectors
muzikizaidi
Author: muzikizaidi