Baada ya kusambaa kwa video mitandaoni ikiaminika ni mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda akiingia Clouds Media akiwa na askari, kuna moja ya ujumbe umeonekana ukisambaa kupitia mitanda ukionesha kuwa kwa kutumia jina la Waziri wa Viwanda na Biashara Charles Mwijage.
Ujumbe ulisomeka ‘Kilichotokea kwa Clouds media ni kitendo cha kinyama na wala si uungwana kabisa tunajenga nchi ya viwanda si ya kutishana”. millardayo.com na Ayo TV inaye Waziri Mwijage mwenyewe kwenye exclusive interview
Source:millard ayo