Aliechora michoro ya Ikulu ya Tanzania kaeleza alivyopata deal hilo

Ibrahim Kejo ni mchoraji ambaye alipata nafasi ya kuchora michoro kwenye Ikulu ya Tanzania, Ayo TV na millardayo.com imempata kwenye Exclusive interview ambapo ameeleza namna alivyopata deal la kuchora michoro ya Ikulu,

Source: Millard ayo