Moja ya stori iliyochukua headlines miezi kadhaa iliyopita ni kuhusu ishu ya upungufu dawa kwenye Bohari Kuu ya dawa ‘MSD’. Sasa Good News ni kwamba kuna Watanzania wameona kero ya upungufu wa dawa hivyo wamekuja na huu mpango wa ujenzi wa kiwanda kitakachojengwa Bagamoyo mkoani Pwani ambacho kitatengeneza dawa na kuziuza hapa nchini.
 Source: Millard ayo