Songa – Money Paper

Money Paper ni mojawapo ya wimbo uliopo kwenye album ya Songa iitwayo Starehe Tupu,wimbo huu unahamasisha utafutaji kwa ufanyaji kazi kwa bidii,tazama kisha toa comment yako na usisahau ku share link kwa wengine pia watazame,Asante sana. Enjoy #MoneyPaper #StareheTupuAlbum #Songa #NiiteSonga