Tanzania kwenye list ya nchi zisizokuwa na furaha duniani

Zimetajwa list ya nchi 155 zenye watu wasiokuwa na furaha duniani, list hiyo imehusisha nchi kutoka mabara yote ambayo watu wanaishi. Kupitia list hiyo imetajwa pia Tanzania ikiwa kwenye nafasi ya 153 wakati nchi ya kwanza kwa watu wenye furaha Duniani ni Norway na ya mwisho ni Jamhuri ya Afrika ya Kati.

Kwa mujibu wa ripoti ya BBC imetoa list ya viwango vya furaha kwenye nchi zote duniani na hapa nimekuwekea hapa nchi 20 zenye watu wenye furaha na wasio na furaha duniani.

                                                          Source: millard ayo