Mjini Kuna Mambo Zari amdhihaki hamisa.

 

 


As usual wazazi mwenza wa mondi bin laden aka chibu dee aka simba baba Abdul,au baba latifa Leo wameendeleza drama na kutuacha wambea wa snap chat name IG hooii baada ya Mama watano kutuma ujumbe huu km dongo kwa mama

Hamisa sio mchache akajibu hivi

 

Ngoma draw ila hapo mobeto ataonekana mkorofi maana bibie bossylady kafuta fastaa baada ya kuona kachenjiwa na mashabiki

Ngoja tuendelee kufaidi uhondo na hivi hali zenyewe za kupambana nazo wallahi mjini patamu

My advice Zari na hamisa ninyi wazazi acheni utoto kama kiki mshapata inatosha msiwajengee chuki watoto wenu na kati yenu nyote mahawara hakuna mwenye ndoa.

Source: Udaku.