‘Wimbo wa Niambie sijamwimbia Wolper, ni kwaajili ya kila mtu’ Harmonize

Harmonize alipita kwenye studio za Millard Ayo na moja kati ya maswali aliyoulizwa kwenye On Air With Millard Ayo nikuhusiana na wimbo wake mpya wa ‘Niambie’ Ni kweli kuwa huu wimbo umemuimbia mpenzi wako Jacline Wolper?

Unajua huu wimbo wangu mpya kuna hii ni stori ambayo inafanana na hata baadhi ya watu huu wimbo ni kwaajili ya kila mtu sio kweli kuwa nimemuimbia Wolper huu ni wimbo wa kila mtu‘>>>Harmonize

Source:Millard ayo