Wabongo Walivyovaa Kizamani Kwenye Party ya Sallam

Meneja wa WCB Sallam amesherehekea birthday yake Dar es salaam kwa kuangusha party ambayo ili uruhusiwe kuingia lazima uwe umevaa nguo ambazo ndio zilikua zinatamba kwenye fashion ya miaka ya 90…..

Source: Udaku