VANESSA MDEE “VEE MONEY” ADONDOSHA BURUDANI NZITO KWENYE STAGE YA FIESTA MOROGORO.

Kama ni mmoja wa ambao hawakuishuhudia Fiesta ya mkoani Morogoro naamini taarifa itakuwa imekufikia kuwa kati ya watu waliopiga show kali sana siku hiyo mwanadada Vanessa Mdee ni mmoja wao.

Thamani iliongezwa vya kutosha katika show hiyo na kufanya Wanamorogoro kutojutia kabisa muda wao kwa kumuangalia mwanadada huyo akiwa stejini.

Perfect255 inakupa nafasi ya kulitazama tena bonge la show lililofanywa na Vee Money.

Story By:@Joplus_

Source: Perfect255.com