VANESSA MDEE APATA SHAVU LA COLLABO KWENYE ALBUM YA DJ MAPHORISA WA SOUTH AFRICA.

Staa wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee ameendelea kula collabo za nje ya nchi baada ya ile ya Reekado Banks wa Nigeria sasa hivi ameshirikishwa kwenye wimbo mpya wa  Dj Maphorisa.

Vee Money ameshirikishwa kwenye wimbo unaoitwa ‘’ ambao pia umeshirikishwa kwenye album (EP) ya producer huyo mkubwa wa SA, Inaitwa ‘Dropping My Album on My Birthday’

Kwenye wimbo huo pia ameshirikishwa Yanga, Rapper wa Afrika kusini, Iisikilize Album nzima hapa

Story by:@Joplus_

Source: Perfect255.com