‘Unaweza kuwa unamchukia mtu lakini usiichukie Tanzania’-Rais Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli leo March 24 2017 amewaapisha viongozi mbalimbali akiwemo Waziri Mwakyembe na wenzake na akapata nafasi ya kuzungumza mambo mbalimbali…….Nanukuu unaweza kuwa unamchukia mtu  lakini usiichukie Tanzania …………….

Source: Millardayo