Stamina Aachia Ngoma Mpya

Kutana na kichwa kingine kwenye Hiphop ya Tanzania…. anaitwa Stamina, leo katuletea mpya aliyomshirikisha Mwimbaji mwingine hodari wa bongofleva Maua Sama….. inaitwa ‘love me‘

Source: Millard ayo