Polisi Dodoma wamekamata viroba vyenye thamani ya Tsh milioni 300

March 24, 2017 Jeshi la Polisi Dodoma likiongozwa na kamishna wa Polisi mkoa Lazaro Mambosasa limewakamata wafanyabishara wawili wakiwa na shehena za vinywaji aina ya viroba vyenye thamani ya zaidi ya Milioni 300 za kitanzania

 Source: Millard ayo