Peter wa P.square akamatwa

 

Serikali ya Nigeria imeagiza police kumkamata Peter Okoye “P-Square” baada ya kuwakoromea na kuwafumua viongozi wa serikali Kwa kuwaita “mad and stupid” baada ya serikali kutoa azimio la kupiga marufuku wasanii wote wa Filamu na muziki kushoot kazi zao nje ya Nigeria

Peter Okoye alitumia mitandao ya kijamii kuelezea maoni yake juu ya mpango huo mpya wa serikali, aliandika,

Sometimes am ashamed to be called a Nigerian because this people😏 Tufia kwa👎🏽 Another Nationality Loading

Ujumbe uliotolewa wa kumkamata msanii huyo ambaye anafanya vizuri kwenye ngoma aliyoshirikishwa na Vanessa Mde ‘Kisela’ ulikuwa unasema

 

“We urge the security agencies in the country to arrest Mr Peter Okoye for disrespecting our government and bringing it to a disrepute. If you cannot produce in Nigeria and hire Nigerians, then leave the industry. We must export Nigerian culture to the outside world through our music and videos” .

Uamuzi ambao umepingwa vikali na asilimia kubwa na wasanii wa nchi hiyo.

Source: Teamtz