NYIMBO ZA JOSE CHAMELEON, DAVIDO, RADIO NA WEASEL, PAMOJA NA EDDY KENZO KUPATA SHAVU KWENYE MOVIE YA “QUEEN OF KATWE” YA MWANADADA LUPITA NYONG`O.

 Muigizaji mkubwa wa Hollywood, Lupita Nyong’o ameamua kuwapa shavu wasanii wa Afrika kwenye filamu yake mpya ‘Queen of Katwe’ iliyoandaliwa na Disney.

Filamu hiyo ambayo imeigiziwa Uganda imetumia nyimbo nyingi za wasanii wa Afrika huku idadi kubwa ikiwa ya wasanii wa nchi hiyo kama Jose chameleone, Eddy kenzo, Radio And Weasel na wengine, Tazama orodha kamili ya Tracklist ya filamu hiyo hapa chini,

1 #1 Spice – HAB and Young Cardamom
2 Sekem – MC Galaxy
3 Budo! – Alex Heffes
4 Tuli Kubigere – A Pass
5 Bomboclat [feat. Weasel] – Jose Chameleone
6 Brian, My Brother! – Alex Heffes
7 Skelewu – DaVido
8 Juicy – Radio And Weasel
9 It Is Fine – Alex Heffes
10 Engoma Yange – Nsubuga Saava Karim
11 Wuuyo – A Pass
12 Oswadde Nnyo – Afrigo Band and Moses Matovu
13 Mbilo Mbilo – Eddy Kenzo
14 Escape from Hospital – Alex Heffes
15 Nfunda N’omubi – Afrigo Band and Joanita Kawalya
16 Kiwani – Bobi Wine
17 The Promise of Harriet – Alex Heffes
18 Kyempulila – A Pass
19 Home Again – Michael Kiwanuka
20 Back to Life – Alicia Keys
21 Am I Ready? – Alex Heffes
22 We Have a Champion – Alex Heffes
23 New World – Alex Heffes
24 Phiona Wins Joseph – Alex Heffes
25 At the Threshold – Alex Heffes
26 Father Grimes – Commence Play! – Alex Heffes
27 Such Aggressiveness in a Girl Is a Treasure – Alex Heffes
28 You Make a Plan Mama – Alex Heffes
29 Is This Heaven? – Alex Heffes
30 Like Ghosts – Alex Heffes
31 Olympiad – Alex Heffes
32 The Water Takes Everything It Wants – Alex Heffes
33 Robert Katende, I Am Your Mother – Alex Heffes
34 School – Alex Heffes
35 Entering Rwabushenyi – Alex Heffes
36 You Belong Here – Alex Heffes
37 We Are Home – Alex Heffe

Story by:@Joplus_

Source: Perfect255.com