AY AFIKIRIA MCHAKATO WA KUACHA KUSHOOT VIDEO ZAKE KWA MADIBA.

AY-TANZANIA-599x400Rapper Ambwene Yessayah aka AY amesema anataka kuacha kufanya video zake nchini Afrika Kusini pamoja na kuanza kutumia waongozaji wengine kabisa.

Akiongea kwenye kipindi cha Ngaz Kwa Ngaz cha Salama Jabir, Alhamis hii, AY alisema video zinazofanywa Afrika Kusini zimeanza kufanana mno.

Alisema hiyo ni ndio sababu iliyomfanya afanye video tofauti ya wimbo wake El Chapo iliyoongozwa na muongozaji wa Tanzania, Shedipro anayeishi SA.@Joplus_

Hizi ni tweets za alichokisema Jana;

Source: Muungwana Blog