Nimefurahi Lulu kafungwa nilichotaka ni kuona hakuna double standards,Mange Kimambi

Mange Kimambi Afunguka baada ya Lulu kupigwa mvua ya Miaka Miwili

 
From @mangekimambi_ – Breaking newzzzzzzzz….. Lulu amekutwa na hatia ya kuuwa bila kukusudia na amehukumiwa miaka miwili jela…….
.
.
.
Dah huyu jaji anawaza kama mimi posti yangu niliyoposti masaaa mawili yaliyopita nilisema ningekuwa jaji ningemkuta na hatia ila ningempa adhabu ndogo mwaka mmoja au miwili jela…….
.
.
Jaji ametenda haki….
.
.
Sio kama nimefurahi Lulu kafungwa nilichotaka ni kuona hakuna double standards, nilitaka kuona haki inatendeka. Na Lulu ana deserve hiyo miaka 2 jela labda itampa muda wa kufikiria how her actions affected Mama Kanumba na familia yake. Labda akitoka atakuwa more humble……
.
.
.
Lakini still mwanasheria wa serikali achukulie hatua za nidhamu na afukuzwe kazi!! Alijaribu sana kusabotage kesi ili amsaidie mtuhumiwa……
.
.
PS: December Magu anatoa misamaha kwa wafungwa, sidhani kama atawasahau wafungwa wa kumpa kiki ya kufungia mwaka kama Lulu na kina Babu Seya maana ile barua ya kina Baba Seya had Bashitel written all over it.”
@moodyhamza