Ferouz Anaswa Live Akiuza Samaki Mchele kitaa

Inasemekana Msanii wa Muziki Ferouz Hali Ngumu…Anaswa Live Akiuza Samaki Mchele kitaa

 
 Ferouz wa Daz Nundaz msanii aliyetikisa na wimbo uitwao wa Starehe uliofanya vizuri mpaka akapewa zawadi na mh rais wa zamani mkapa.
Hapo awali inasemekana maisha yake yalikuwa magumu na pia ni mtumiaji wa madawa ya kulevya!
@moodyhamza