Majibu ya Nay wa Mitego baada ya kuombwa pambano la ngumi na Yusuph Mlela

Siku chache sasa zimepita tangu muigizaji staa wa Bongo movie Yusuph Mlela kuomba pambano la ngumi dhidi ya rapa Nay Wa Mitego, sasa kinachoendelea ni kwamba ujumbe huo umemfikia mhusika.

Kutokana na ujumbe huo wa Yusuph Mlela kwenye EXCLUSIVE interview na Ayo TV Entertainment na millardayo.com Nay ameelezea majibu ya ombi hilo ambapo mbali na kuzungumzia pambano aliloombwa, pia Nay ametupa good news za kumtambulisha msanii mpya kwenye label yake.

Source: Millard ayo