LIL WAYNE ASHUSHIA MATUSI “CAH MONEY” AKIWA KWENYE STAGE.


Ule mzimu wa Lil wayne kuchukia label ya Cash Money bado umetawala kichwani mwake na kuamua kuitukana label hiyo live jukwaani.
Katika Summer sixteen ya Drake huko Houston, Lil wayne aliamua kuchukua mic na kuongelea hisia zake moyoni kuhusiana na label ambayo ilimlea mpaka kufikia hapa alipo, kikubwa alichoamua kukimalizia kuhusiana na label ya Cash Money ni kuwatukana tu
“Houston, Texas, before I leave y’all, I want to say I know I’ll always have a home at Rap-A-Lot Records, and y’all know they’re fucking me over right now,” he said. “So before I go, I leave you with these kinds words: Fuck Cash Money.”
Story By:@Joplus_
Source:  Raha za walimwengu