Kuna Mmoja Analipwa Million 20 Kwa Siku Kwenye Mtandao.

Mtangazaji maarufu wa Classic 105 ya nchini Kenya, Maina Kageni amefunguka kwa kusema kuwa kuna msanii mmoja wa Tanzania analipwa na mtandao wa simu milioni 20 kwa siku kutokana na nyimbo zake. Mtangazaji huyo amedai hawezi kumtaja msanii huyo lakini alibainisha ni kati ya Alikiba na Diamond. Alisema hakuna msanii mwingine wa Kenya au Tanzania anayelipwa pesa nyingi kama hizo kwa siku.

Source: Bongo 5.com

Facebook Notice for EU! You need to login to view and post FB Comments!